Paka Permit Lyrics – Benzema x Murasta

Paka Permit Lyrics: Paka Permit is a fresh new song sung by Benzema & Murasta . The song is released by the label Benzema official on July 21, 2020.

This music video is produced by Benzema & Murasta . The total duration of the song is 3:56. Paka Permit is from the album Paka Permit . It is really a very cheerful song, so enjoy the lyrics and stay connected with us!!

Paka Permit Lyrics Quick Info
SongPaka Permit
ArtistBenzema, Murasta
MusicN/A
LyricsN/A
Duration3:56
ProducerN/A
DirectorN/A
CastN/A
AlbumPaka Permit
LabelBenzema official
Release DateJuly 21, 2020
Last UpdatedJuly 26, 2020

Paka Permit Lyrics

Here is Paka Permit lyric if you have this lyric in any other language please let us know the correct lyrics. We would love to publish it.

Yeah skiza!
Mi kama brathe niko na siste
Mshike nitakutolea toa ya rithe
Ushai kunywa panadol after kibare
Mwenye ulibaka anaitwa Mbaire

Usijiforce kwa mwanamke
Ju mwanamke ni mama yako
Na bibi yako ni mali yako
Chunga mali yako funga padlock kwa matak*

Alenjadro, Murasta
We ndo queen hakuna matata
Story yako yenye ulituleta hapa
Walikubaka pole sana (Asanti)

Moyoni nina uchungu hasira
Mbona mnabaka wadada
Moyoni nina uchungu hasira
Na sisi jamii imedharau

Moyoni sina raha, sina raha
Sina raha ah ah ah aaah
Moyoni sina raha, sina raha
Sina raha ah ah ah aaah

So sad na hii kesi ninajam tu
Ignorance ni ka society imefyatu
Ka unaeza dare fanya rape bila kucare
Heshima ya mama yako alredy ishatokomea

Mi naona execution ndio solution ama jea
Kusundwa jela ni siku za mwizi tunaongezea
Brutaly ukashika Mwikali
Ukashika Valerie na ukashika Natalie

Ukashika Nyambane na ukashika Mwane
Uka shika pia ule boy OG ana janje
Nishakuwa falsely accused kwanza na fala
Motherfucker, brotherfucker, fatherfucker

Moyoni nina uchungu hasira
Mbona mnabaka wadada
Moyoni nina uchungu hasira
Na sisi jamii imedharau

Moyoni sina raha, sina raha
Sina raha ah ah ah aaah
Moyoni sina raha, sina raha
Sina raha ah ah ah aaah

Hata mbuzi ni mwerevu kushinda rapist
Be the voice, be the noise
Yaani kuwa na sauti pahali hakuna sauti
Nimekuja na mishale mi narusha
Na nimekuja kuhakikisha nimewaua
Na mi ndo yule manzi nakuwanga nimejiskia

Mi nataka victims wote wasimame
Tumia sauti yako tumalize hii ukame
Gathee gathee usinitoe pantie
Brathe brathe heshimu huyo auntie
Brathe unahitaji pussy permit
Paka permit yaani uingize ndani

Moyoni nina uchungu hasira
Mbona mnabaka wadada
Moyoni nina uchungu hasira
Na sisi jamii imedharau

Moyoni sina raha, sina raha
Sina raha ah ah ah aaah
Moyoni sina raha, sina raha
Sina raha ah ah ah aaah

I hope you enjoyed the song and lyrics. If you find any mistake in the lyric of Paka Permit song, or if you get any broken link please let us know so that we may update those links and details with the right information.

If you want your song lyrics to be published here please contact us we would love to publish it on our website.

%d bloggers like this: